Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

This is truly a keeper. Faster and better than Google Earth.. ANY ADDRESS - ALL OVER THE WORLD Much faster than Google Earth. It's unbelievable technology. Is there a place to hide on...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
naombeni kujua wajuzi. wapi ninaweza kupata huduma hii ya kuangalia Cheneli za bongo kwenye mtandao?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Umeme ni jambo linalosumbua sana katika bara la Afrika na pia katika nchi za kimaskini kwa ujumla. Hii sio hali katika jengo la The Pearl River Tower, jengo bora kimazingira Duniani ambalo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Amani kwenu! Rafiki yangu kanipigia, anasema mdogo wake haonekani alipokwenda, akipigiwa simu anapokea mtu mwingine na anajibu vibaya. Kaniambia nijaribu kuona kama naweza kujua location ya hiyo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau salamu, Naomba msaada wa app inatakayoniwezesha ku download nyimbo bila kikwazo Asante
0 Reactions
2 Replies
862 Views
Wakuu, Heshima kwenu ! Nawaomba mnisaidie jambo. Mimi nilikuwa natumia Black Berry na imepotea kwasasa lakini nnapata mashaka sana kwamba labda kupitia PIN NUMBER ambayo haiwezi kubadilika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau kuna desktop ya zamani sana, NCS, imefanyiwa installation ya windows xp ikawa ime fail. Sasa kila nikijaribu ku install upya windows xp inagoma ku boot toka cdrom wala kuonesha boot order...
0 Reactions
3 Replies
931 Views
Wakuu nataka kununua simu ya huawei u8655-1, inayotumia android, so kama kuna yeyote mwenye uzoefu na simu hizo anaweza kushea na mimi kabda cjainunua
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu najua wajanja wengi basi nisaidieni niweze kupata hiyo ki2 nimeangalia hizi video lkn nimetoka kapa How To get Zbigz premium Account 2013 - YouTube Get Zbigz premium accounts and cookies...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu?? Nipo kijijini na busy sana, jana nimepata muda nikasema walau niangalie nini kinaendelea kwenye mitandao yote ikiwepo ya kijamii thanks JF imekuwa easy na mingene. tatizo langu ni...
0 Reactions
2 Replies
824 Views
laptop yangu toshiba satelite l305 haina cdrom hvyo nikatoa hdd na kuweka ktk laptop nyingne toshiba satelite c850b,baada ya ku finish nikarudisha kwa ile l305 lakini laptop inawaka mpaka pale...
0 Reactions
5 Replies
879 Views
Wakuu, nahitaji msaada wa haraka. Natumia windows 8 lakini sasa hivi nikiwasha pc ikifika desktop mode inaniambia "windows detected a hard disk problem" my pc is dell insipiron mini lakini disk...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Je simu ya SAMSUNG E2222 inaweza ku- support whatsapp application? Na kama inaweza, ni website gani nitaipata hiyo Application?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
I've been using window 7 on my pc for a couple of months. Some weeks ago, a notification saying 'SBUpdate Module has stopped working' started coming up every couple of hours. I don't remember when...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu msaada nikitaka 2mia nero au ashampoo kuburn inaniambia no compatible cd recorder found
0 Reactions
2 Replies
679 Views
Wakuu, Heshima kwenu ! Nawaomba mnisaidie jambo. Mimi nilikuwa natumia Black Berry na imepotea kwasasa lakini nnapata mashaka sana kwamba labda kupitia PIN NUMBER ambayo haiwezi kubadilika labda...
0 Reactions
0 Replies
693 Views
.. "msconfig" or "Microsoft System Configuration Utility" is designed to help you to troubleshoot problems with your computer. This allows you to edit your start-up applications. "msconfig"...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamvi naulizia upatikanaji wa lamp ya projector aina panasonic model PT-LC56E yangu inakaribia kuisha muda kwani imebakisha masaa kama 100 hivi nahitaji kujua wapi ntaipata hapa tz na kwa...
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Hivi hii ni kweli? naomba majibu ya kitaalam hapa
0 Reactions
32 Replies
6K Views
naombeni msaada wa jinsi ya kuflash na software yake kwa simu ya blackberry curve 8520
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom