How to install final cut pro on window operarating systems like xp, vista, win 7 & win 8

How to install final cut pro on window operarating systems like xp, vista, win 7 & win 8

Ngosi

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
391
Reaction score
191
Habari wapendwa wote wa jamii forum?
Hongereni na mihangaiko ya hapa na pale, husika na mada naomba kujuzwa na kueleweshwa jinsi ya kunstal apple final cut kwenye computer inayotumia windows badala ya ile mac, maanake napenda sana nijifunze kutumia final cut na sina computer ya mac
natanguliza shukrani za dhati kwa wataalamu wote wa humu jamii forum
 
unaeza ku run final cut pro kwenye windows pc kwa kutumia mac os x emulator. mimi sio mtaalam wa video editing kwa hiyo software za video editing uwa siko interested nazo saaana. ila inawezekana, watu kadhaa wameniambia its possible
 
ila kama kweli we ni mtengenezaji wa video nakushauri utumie adobe premier au avid media composer
 
Back
Top Bottom