Watch tz tv online free

Watch tz tv online free

Channel za wapi unataka kuangalia online?
 
Anayejua jinsi ya kuangalia tv channels za tz kwenye net anisaidie

ITV, TBC, EATV, ingia hapa tv4africa.com download software ila unatakiwa kulipa euro 5 kila mwezi ukilipa watakupa password na user name pia utaweza kuangalia tv za mataifa mengine ya africa.

STARTV nenda kwenye website yao yaani startvtz.com halafu bonyeza palipoandikwa startv live then utakuwa hewani tayari.

kuna tv station nyingine ya mwanza inaitwa barmedas tv wanapatikana ustream link hii hapa chini
barmedas.tv (Sisi Tunatangulia Wengine Wanafuata) on USTREAM: . Other Entertainment

mimi najua hizo tu
 
Back
Top Bottom