Connectify hotspot pro 5 bureee....

Connectify hotspot pro 5 bureee....

Paje

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2010
Posts
1,185
Reaction score
486
wakuu kwa anayeweza kufanya survey au kujisajili katika trial kisha kujitoa ili asikatwe hela au kununua kitu kwa bei as little as dola 3 kuna offfer ya kupata hiyo software bure....
TrialPay Error
atayefanikia anaweza akagawana hayo matunda na wanajamvi wenziwe
 
Du hayo ma survey mm siwezagi
na hiyo 3$ mbona sijaona sehemu ya kulipa
 
Du hayo ma survey mm siwezagi
na hiyo 3$ mbona sijaona sehemu ya kulipa
option ya mwanzo unajisajili hulu kwa dola 8 kwa mwezi kisha unajitoa kabla ya siku 15 weye utajitoa kesho yako.
offer ya pili unanunua game kwa dola 2.99, inakuwa ni yako si lazima ui install
 
wakuu kwa anayeweza kufanya survey au kujisajili katika trial kisha kujitoa ili asikatwe hela au kununua kitu kwa bei as little as dola 3 kuna offfer ya kupata hiyo software bure....
TrialPay Error
atayefanikia anaweza akagawana hayo matunda na wanajamvi wenziwe
Survey huwa nachemka vibaya so huwa naona yananipotezea muda tu!!!
Mzee e2themiza yukowapi aje atusaidie maana nimecheck post zake za nyuma jamaa yupo fit vibaya!!!!
 
Last edited by a moderator:
Survey huwa nachemka vibaya so huwa naona yananipotezea muda tu!!!
Mzee e2themiza yukowapi aje atusaidie maana nimecheck post zake za nyuma jamaa yupo fit vibaya!!!!

nunua japo kitabu basi cha dola 3 upate hiyo software ya dola 34
 
done nshakibeba kitu buree

Capture.PNG

nimeficha licence key nikiinstall ntawapa kama itakubali maana sjajua kama ni scam au ni kweli
 
Kaka habari za kazi na pole na majukumu. Ninaomba ktujuzwa Hivi kitu cha hotspot pro 5 kinatofauti na cproxy?
 
Kaka habari za kazi na pole na majukumu. Ninaomba ktujuzwa Hivi kitu cha hotspot pro 5 kinatofauti na cproxy?

Sijui kaka unayemsema bila quote au mention ni yupi?
Cproxy na hotspot sio sawa
Kwakuwa cproxy unaijua sitakuelezea lkn hotspot inaweza rusha Wi-Fi pia inacombine mitandao kadhaa nakukupa bandwidth ya kufa mtu
Mwisho ule mpango wetu ulifikia wapi?au unakula matunda ya cproxy
 
Sijui kaka unayemsema bila quote au mention ni yupi? Cproxy na hotspot sio sawa Kwakuwa cproxy unaijua sitakuelezea lkn hotspot inaweza rusha Wi-Fi pia inacombine mitandao kadhaa nakukupa bandwidth ya kufa mtu Mwisho ule mpango wetu ulifikia wapi?au unakula matunda ya cproxy
hamna kitu ndugu cproxy kwangu imegoma kabisa sijui kwa nini, ule mpango wetu nitakushitua muda si mrefu. Alafu mbona mimi najaribu kudownload hii hospot pro 5 inagoma kabisa.
 
Sorry, your license has already been redeemed. Please enter a new activation key

mkuu tulikua tunatest tu mi mwenyewe nilijua haikubali. hapa hadi mtu atengeneze portable toka version yangu au ya juakali
 
Back
Top Bottom