dvd empty za gb 8!!

dvd empty za gb 8!!

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,326
Reaction score
3,446
heshima kwenu wana jamvi nina shida na dvd empty za gb 8 au 9,mwenye kujua wapi zinapatikana naomba anisaidie,nimeishia kupata za gb 4.7, nipo dar
natanguliza shukrani.
 
Nilikuwa nazipata duka la Qprint lipo posta pale mbele kidogo ya ukumbi wa habari na maelezo, walikuwa wakiuza elfu 5 wakati ule sijui kwa sasa.
 
nitaenda kucheki tommorow,hope zitakuwa zimeshuka bei thanks for info by the way!
 
zipo hata maduka ya kawaida mi nilinunua zamani kidogo huku musoma ila nilishindwa ku-burn... so tafuta machine yenye nguvu ili uweze kuichoma.
 
Back
Top Bottom