Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Salam WanaJamvi...mda mchache uliopita nilikuta thread kuhusu hii kitu Connectify Hotspot Pro na hakukuwa na solution nimepata Crack mi nakula bata tuuu karibuni...
GO PRO!
GO PRO!
Mkuu hukuelewa ule uzi ulikua umekusudia nini, Paje alikua anahitaji Connectify Version 5, hiyo version 3 unayo leta watu wanayo kitambo mbona.Salam WanaJamvi...mda mchache uliopita nilikuta thread kuhusu hii kitu Connectify Hotspot Pro na hakukuwa na solution nimepata Crack mi nakula bata tuuu karibuni...
GO PRO!
mbona kiongozi version hiyo ni ya zamani sana. tumeweka hadi version 4.3.3 katika thread ya guru. sasa hivi mali ni version 5 ndio crack yake badoSalam WanaJamvi...mda mchache uliopita nilikuta thread kuhusu hii kitu Connectify Hotspot Pro na hakukuwa na solution nimepata Crack mi nakula bata tuuu karibuni...
GO PRO!