jinsi ya kubadili faili la Pdf kwenda word

jinsi ya kubadili faili la Pdf kwenda word

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,417
Leo nimeona niwaletee makala ya kubadili mafaili ya pdf kwenda word, au word kwenda pdf kwa urahisi.

Pdf kwenda word

wote tunajua faili likiwa kwenye pdf halieditiki, njia rahisi ni kulibadili liwe la word kisha uliedit

jinsi ya kufanya;
mimi hutumia programu ndogo inayoitwa verypdf pdf2word. hii programu ni ndogo lakini ina feature nyingi

jinsi ya kuipata: unaweza kuidownload kwa kuitafuta google huwa ni trial version kisha nenda serials.ws kupata serial zake ili iwe full version.

ni rahisi kuitumia, haina vikorombwezo vingi.



kubadili word kuwa pdf

program za Libre office (zamani open office), microsoft office kuanzia 2010 na kuna addon ya foxit reader,

zinakuwezesha moja kwa moja kusave file lako kama pdf

kwa ambao wana njia zingine wanaongeze hapa
 
kwa ambao wana njia zingine wanaongeze hapa

Mimi nimekua nikitumia Nitro PDF.. inabadilisha pdf to word na pia inabadiliha word to pdf. Ukiinstall inaongeza addon kwenye microsoft word kwahiyo unaweza ukabadilisha kutokea kwenye word. Piahua natumia free online tools kama nahitaji kubadilisha page chache
 
Nifanye nini wakati wa downloading ili toolbox ya hiyo s/f isiappeare kwenye tool bar.mana me imetokezea na nime-unstall lakini nikiwasha computeter inatokea kama default web page
 
mkuu C6 vp mzigo kutoka Ppt kwenda pdf na reverse vp?
na vp html kwenda pdf?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom