Mkuu hapo hakuna njia nyingine,zaidi ya kuwapigia huduma kwa mteja,ukiwa una namba kama tano hivi,za watu unaowasiliana nao mala nyingi,then watakufungulia tu. My.take uwe mvumilivu kwenye kusubili hiyo simu kupokelewa!utadhani unataka kuongea na obama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.