Naomba mnijuze hili, nitajuaje samsung galaxy s4 orijino ama feki? kuna code za kufanya test za galaxy s4?if yes which are the necessary test to be carried out to confirm that the phone is...
Habarini za asubuhi wandugu, naomba msaada jamani, key board yangu imekufa leo asubuhi baadhi ya herufi hazi function, imetokea bada ya kuisafisha kwa kutumia spray, msaada kama inaweza kupona au...
The following are the top 10 best android tablets in the world today;
10. Archos 80 Titanium
9. Nook HD+
8. Amazon Kindle Fire HD
7. Samsung Galaxy Tab 2 10.1"
6. Asus Fone Pad
5. Asus...
Ndugu wana Board poleni sana kwa majukumu mazito yanatukabili,Naomba ukielekezwa jinsi ya kutengeneza blog,nataka niitumie kwa ajili ya kutanganza product ninazouza kwa mfano simu na vifaa vya...
A new prosthetic bionic hand, designed and built by researchers at Case Western University is now capable of using measurements from 20 sensor points to control the grip force of its digits...
pd proxy imerudi uwanjani kwa port ileile cha kufanya wakati wa ku connect unaisubiria kama baada sekunde kumi na imerudi kwa speed kubwa sana kweli walikuwa wa upgrade 3g yao
Wapendwa habarini na majukumu,
Wakuu nilikuwa naomba kama kuna mtuu alishatumia kifaa hiki, na matumizi yake yakoje na kinafaida gani kwenye internet tofauti na modem? nimeuliza hivi kwasababu...
wataalam,shukrani kwa jitihada zenu za kutuelimisha wengine,kwa kweli jamiiforums tunajivunia sana sana,sasa jamani katika satellite hizo hapo mbili,anayefaham setup yake ya dish na jinsi ya...
Siruhusiwi Kutumia Simu Aina ya iPhone Rais Obama
Rais wa Marekani Barack Obama mnamo siku ya Jumatano alikiri kuwa alikatazwa kutotumia simu aina ya iPhone kwa sababu za kiusalama, hii...
Jamani wadau naombeni mnisaidie jambo,Mimi natumia window 8 lakini ninapotaka kuangalia Pc information inakata na kunirudisha mwanzo na baadae nilipogundua nikakuta Product ID not available ndo...
Najua wengi wetu humu tuna pc na storage devices mara nyingi kuna vitu ambavyo tunataka viwe siri yetu peke yetu na mtu mwingine asivione kabisa mfano wa mafaile ni kama nyaraka muhimu, movies 18...