mwenye ujuzi na Fritz box 6810 LTE

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
158
Wapendwa habarini na majukumu,
Wakuu nilikuwa naomba kama kuna mtuu alishatumia kifaa hiki, na matumizi yake yakoje na kinafaida gani kwenye internet tofauti na modem? nimeuliza hivi kwasababu kuna mtu kapewa na bosi wake na ina line ya smile,sasa anataka kuniuzia na mimi nimevutiwa na hii kitu, sasa nikasema si vizuri kabla sijanunua nije kwenu munijuze kuhusu hii kitu nisije kununua kitu ambacho labda kwa hapa nchini kwetu hakifanyi kazi.
Nakutegemeeni kwa ushauri na maelezo yenu yakunipa zaidi elimu ya hii kitu
 
Back
Top Bottom