Nishawahi kujaribu hiyo ya kutumia friends au kucreat new accounts ili Facebook wazitume code kwa hao marafiki/account.
Kikwazo hiki Hapa:
1. Ukitengeneza a/c fake, kisha ukamuadd huyo victim wako as friend na aka accept, sio mwisho. Lazima muwe mmeshawahi chat sana, na kuingiliana ktk vitu mbalimbal Fb. Huyo ndio Close Friend. Sio tu kisa ni rafiki yako. Baada ya hapo ndio anaweza kua katika List.
2. Ukisha mchagua rafiki wa kwanza ktk list unayo pewa haipo constant. kumbuka kama victim ana friends 3,000 hivi, Fb ina wa pick wale best friends wake, wanaweza kua kama 1000 hivi, then ndio unachagua wa kwanza, ukienda stage ya kuchagua wa pili, ile list ina reload tena, so.from 1000 wanachujwa hafi may be 500 hivi. Hapo wanatoa all friends ambao ni Mutual Friends na yule wa kwanza uliemchagua, umenipta? Na tena ukisha mchagua hapa, wana reload tena wanaweza baki kama 80 hivi ndio uchague wa tatu.
Yaani hizo account 3 utakazo zitengeneza. Ziwe separately kabisa. Zisiwe na urafiki wowote wala ukaribu wowote. Ziwe na umri zaidi ya 6 months. Na ziwe na 0 mutual friends.
Facebook wana akili.kaka not easy kama hivyo.