wataalam,shukrani kwa jitihada zenu za kutuelimisha wengine,kwa kweli jamiiforums tunajivunia sana sana,sasa jamani katika satellite hizo hapo mbili,anayefaham setup yake ya dish na jinsi ya kuipata kirahisi tafadhali jamani msaada,maana katika hiyo ya 53'w kuna channel ya sport max,natamani kuipata ili nifahamu yaliyomo,intashukuru sana na natanguliza shukrani zangu kwenu