Anicet mchomvu
Member
- Apr 18, 2012
- 95
- 213
Jamani wadau naombeni mnisaidie jambo,Mimi natumia window 8 lakini ninapotaka kuangalia Pc information inakata na kunirudisha mwanzo na baadae nilipogundua nikakuta Product ID not available ndo sababu ya tatizo cjui sasa mnanisaidiaje wadau?