Natafuta key board ya acer aspire one d255

Natafuta key board ya acer aspire one d255

Jeff

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2009
Posts
1,293
Reaction score
202
Habarini za asubuhi wandugu, naomba msaada jamani, key board yangu imekufa leo asubuhi baadhi ya herufi hazi function, imetokea bada ya kuisafisha kwa kutumia spray, msaada kama inaweza kupona au wapi naweza kubadilishiwa mpya na kwa bei gani, mashine nina kazi nayo muhimu na ya haraka sana, naomba msaada wenu. mimi niko morogoro, hata dar naweza kuifuata kama itapatikana. asanteni
 
umejaribu kuifungua hiyo keyboard then ukaidisconect na kuconect tena mkanda wake, wakat mwingine ile connector yake (mkanda) huwa unacheza na some keys zinacease, it worked for me
 
umejaribu kuifungua hiyo keyboard then ukaidisconect na kuconect tena mkanda wake, wakat mwingine ile connector yake (mkanda) huwa unacheza na some keys zinacease, it worked for me

no, sijajaribu mkuu, ila chanzo chake ni kuwa imeingia maji, mana nilikuwa naisafisha na spray,ngoja nijaribu kuwashauri mafundi wafanye hivyo
 
Back
Top Bottom