Vioo vya laptops

Vioo vya laptops

Kaitaba

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2009
Posts
915
Reaction score
54
Laptop yangu TOSHIBA imepasuka kioo, naweza pata wapi kingine na kuki~fix?
 
kama una mkwanja fresh nenda office depot posta pale fasta wanakurekebishia unaondoka nayo. kama unataka bei za kawaida cheki mafund kkoo
 
ingekuwa HP Ninacho kizima ila toshiba nope!
 
nenda pale kwa paschal kariakoo umtafute jamaa anaitwa juma yeye anashugulika na uuzaji wa vioo na Betri so atakufungia kwa bei isiyozidi 120,000 but ukimpa pasco mwenyewe andaa 150k
 
nenda pale kwa
paschal kariakoo umtafute jamaa anaitwa juma yeye anashugulika na uuzaji
wa vioo na Betri so atakufungia kwa bei isiyozidi 120,000 but ukimpa
pasco mwenyewe andaa 150k

Ni maeneo gani kariakoo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom