setting za airtel tafadhali

setting za airtel tafadhali

Unataka kufanyia settings simu gani mkuu?
Simu nyingi kwenye APN unaandika neno internet
Kwingine kote unaacha wazi kisha una save, hii itakubali mitandao yote ya kibongo ya GSM
 
labda mleta uzi anataka setting ya kubadili airtel kuwa tigo...lol
 
Back
Top Bottom