‘Siruhusiwi Kutumia Simu Aina ya iPhone’ – Rais Obama

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
[h=3]‘Siruhusiwi Kutumia Simu Aina ya iPhone’ – Rais Obama[/h]

​

Rais wa Marekani Barack Obama mnamo siku ya Jumatano alikiri kuwa alikatazwa kutotumia simu aina ya iPhone kwa sababu za kiusalama, hii ilikuja kipindi ambacho alikuwa akifafanua ni kwa nini wakati mwengine huonekana akitumia simu kubwa aina ya Blackberry.

“Siruhusiwi kwa sababu za kiusalama kuwa na iPhone,” Obama alilieleza kundi la vijana ndani ya White House kwenye tukio la kuhamasisha sheria ya kujali afya.
 
Hata siamini. Huo ni uzushi tu kwa sababu kwa mara ya kwanza mtu mmoja alinambia kuwa Obama alikatazwa kutumia BB
 
Hakukatazwa kutumia BB mkuu ila walimwambia apunguze matumiz ya cm maana alikua anatumia BB
 
[h=3]‘Siruhusiwi Kutumia Simu Aina ya iPhone’ – Rais Obama[/h]

​

Rais wa Marekani Barack Obama mnamo siku ya Jumatano alikiri kuwa alikatazwa kutotumia simu aina ya iPhone kwa sababu za kiusalama, hii ilikuja kipindi ambacho alikuwa akifafanua ni kwa nini wakati mwengine huonekana akitumia simu kubwa aina ya Blackberry.

“Siruhusiwi kwa sababu za kiusalama kuwa na iPhone,” Obama alilieleza kundi la vijana ndani ya White House kwenye tukio la kuhamasisha sheria ya kujali afya.

HIYO inawezekana hao iPhone wachujio la kusoma simu za watu ..
 
‘Siruhusiwi Kutumia Simu Aina ya iPhone' – Rais Obama

​

Rais wa Marekani Barack Obama mnamo siku ya Jumatano alikiri kuwa alikatazwa kutotumia simu aina ya iPhone kwa sababu za kiusalama, hii ilikuja kipindi ambacho alikuwa akifafanua ni kwa nini wakati mwengine huonekana akitumia simu kubwa aina ya Blackberry.

"Siruhusiwi kwa sababu za kiusalama kuwa na iPhone," Obama alilieleza kundi la vijana ndani ya White House kwenye tukio la kuhamasisha sheria ya kujali afya.

Mkuu MziziMkavu , no disrespect lakini hii siyo habari ya tech, ni habari ya udaku!
 
Last edited by a moderator:
Hata siamini. Huo ni uzushi tu kwa sababu kwa mara ya kwanza mtu mmoja alinambia kuwa Obama alikatazwa kutumia BB
Mkuu yaani kutokuamini kwako kunatokana na mtu mmoja kukwambia "Obama alikatazwa kutumia BB"? Mhhhhh!
 
ndiyo maana mimi nina nokia torch mpaka leo na sina mpango kabisa wa kuiacha, watu wananiulizaga huna whatsapp? nawambia natumia nokia torch.
 
Hivyo wamarekani na ujanja wao wameshindwa kumtengenezea simu yake tu..mbona wachina wanatengeneza aina nyingi..kama Techno, BlueBerry, YellowBerry, Hphone, Kphone, Sumsang etc..
 
So we wajifananisha na Obama, una kipi cha kuchunguzwa choka mbaya mwenzengu

kaka nsa hawajali hilo kila mtu katengenezewa profile yake. hata yule raisi wa brazil lula da silva alikua fundi viatu.

unaweza ukawa choka mbaya leo next year ukawa ni bilionea au jambaz au gaidi au kiongozi wa waasi na mambo mengine.
 
Hivyo wamarekani na ujanja wao wameshindwa kumtengenezea simu yake tu..mbona wachina wanatengeneza aina nyingi..kama Techno, BlueBerry, YellowBerry, Hphone, Kphone, Sumsang etc..

tatizo sio ufahari tatizo ni usalama. simu special ya obama ujue watakaoitengeneza kutakua na snowden mwingine hivyo itakua rahisi kumtrack raisi huyu
 
Back
Top Bottom