Jf tech huwa napata suluhisho. Watu wanajua.
Kwa dar naomba kujua napata wap wireless earphones zenye bass na mchujo mzuri kama au zaidi ya wired earphones.
Najua maduka yamejaa hizo lakin tatizo...
Habari zenu wadau
Nimekuja hapa nahitaji muongozo wenu nijue kampuni gani inafaa za hii huduma web hosting hapa Tanzania
Ninataka nifungue site yangu kabla sijakulupuka nimeona ni vyema nipate...
Iliwahi nitokea hii, simu nilinunua laki 4 ikapasuka kabisa kioo, kuulizia bei ya kioo laki 2 na elf 80, nikasema potelea mbali heri ninunue simu mpya tu, lakini kulikuwa na vitu vya muhimu ndani...
Habar zenu waungwana ivi Kwa bajet yangu ya 150k naweza pata tablet ya Samsung Galaxy series yoyote ile hata Kwa mtu ili namimi nifanye jambo langu flani ivi?
Nilishawahi kutumia sabwoofer ya boss ikazingiua baada ya miezi 3 nikanunua sean piano nayo baada ya miezi sita yaleyale uwezo wa kununua home theater sina je naweza nunua sabwoofer gani ambayo...
Mamlaka huru ya mawasiliano nchini Afrika kusini (icasa) imetoa onyo kwa mashirika, kampuni au watu mbalimbali ni haramu au marufuku mtu kutumia mtandao wa Starlink.
Mamlaka hiyo ya Icasa iliweza...
Siku ya jumatano bilionea namba Moja ulimwenguni Elon Musk aliwashangaza watu wengi ulimwenguni kutokana na kauli yake ya utata dhidi wa wadhamini mbalimbali kupitia mtandao wa X kwa kusema Go...
IQ>>AI
Na KENGE
Technology ya AI inazidi kukua siku hadi Siku,kupelekea makampuni makubwa kama Google na Microsoft kushindana ubunifu wa AI Technology.Kwasasa tumeona picha nyingi...
Kampuni kongwe katika tasnia ya teknolojia,Google wamepokea maelfu ya lawama kutoka kwa wanajamii wa AI baada ya bidhaa yao mpya ya Gemini AI kudhihirika kuwa na uwezo mdogo tofauti na...
Habari zenu wanajamvii,
Mimi ni blogger mchanga, namiliki blog yangu hii www.binruwehy.co.tz kwaajili ya habari za michezo lakini ninashangazwa na jambo hili kwenye upande wa views kuna wakati...
Azam Tv wamekuja na Ma dish mapya kwa ajili ya Magari
Nazani kama una safiri kuelekea mikoanii sasa unakutana na magari ambayo yanaonyesha chaneli mbalimbali za Azam wakati wa safari? Si ndiyo...
Habari wananzengo"
KWa wale wataalam wa jukwaa la teknolojia, naomba mnieleweshe namna gan naweza nikatambua kwamba hii saa janja ni band fulan?
Maana utakuta mtu anasema hii band 4, hii band...
Habari Wanajamvi Natumai ni wazima wa Afya....Nilikuwa naomba kufahamishwa Je ni Wifi Adapter ipi ambayo naweza Tumia kwenye Computer bila Tatizo na Yenye kasi zaidi.
"Ndugu Mteja, 627692622 imehuishwa kikamilifu na MWAFT29499 - PHILIBERT JUMA TUBILOLE Mwenye XXXXXXXXXXXXXX 000324 tarehe 12/10/2023 20:26:08 PM.Piga 100 au tembelea maduka yetu kwa msaada."...
Head to Settings > Network and Internet > Advanced > Private DNS.
Choose the option Private DNS Provider Hostname.
Enter "dns.adguard.com" and Save.
That's it! You'll no longer see any in-app ad...
Wiki mbili zilizopita Korea ya kaskazini ilifanikiwa kurusha satellite yao ya kijeshi ya kijajusi Angani kwa ajili ya masuala ya kiusalama.
Hatimaye, Korea ya kusini imejibu mapigo kwa kurusha...
Mtandao wa Telegram imeachia feature mpya kwa watumiaji wake kuwa na uwezo wa kutafsiri sauti kuwa maandishi kwa urahisi kupitia simu zao.
Inaitwa voice Transcription mwanzoni ilikua inapatikana...
Salaam
Kuna vitu siku hizi sivielewi na huu mtandao. Nimeviona mara kadhaa nikabaki kujiuliza na sina jibu. Unanunua bando la internet ila hawa washenxi wanakula bando lako zaidi ya 30% hujui...
Imepita zaidi ya Miaka 31 tangu message ya kwanza kutumwa duniani kupitia simu mpaka kufikia Leo hii Kuna zaidi ya message trilioni zimetumwa ulimwenguni kupitia simu.
Turudi Nyuma mpaka mwaka...