Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 445
- 754
Siku ya jumatano bilionea namba Moja ulimwenguni Elon Musk aliwashangaza watu wengi ulimwenguni kutokana na kauli yake ya utata dhidi wa wadhamini mbalimbali kupitia mtandao wa X kwa kusema Go f***k yourself .
Kupitia mkutano wa New York times aliweza kutoa msimamo wake kuhusu kampuni mbalimbali kama vile Apple, Disney, IBM, Comcast, Coca-cola, Discovery nk, kutishia kusitisha kuweka matangazo kwenye mtandao wa X(Twitter).
Sababu kubwa ni Elon Musk kushindwa kufungia Yale maudhui mbalimbali yenye kuwapinga Wana Israel juu ya vita iliyokuwa inafanyika nchini Palestine au kuchapisha picha ambazo zinakosoa Vikali mambo yanayofanywa na wa Israeli.
Elon musk amesema mtandao wake wa X (Twitter) ni wa uhuru na haki wa maudhui ya aina yoyote Yale wenye kutoa mitizamo aina tofauti tofauti kupitia haki ya kuzungumza.
Kauli Ya Elon musk alisema
" If somebody’s gonna try to blackmail me with advertising, blackmail me with money?" Musk said. "Go f**k yourself.
Lakini aliweza kuomba radhi kupitia tweets kwenye mtandao wake wa X kwa kusema ulikua ni ujinga wamsamehe ameua na kupuliza tajiri.
Angalia video yake kwenye Whatsapp Yetu channel tajiri jeuri
#Elonmusk #bongotech255