Files recovery app

Files recovery app

Chief mkwawa, hi my name is JK Mushi. I have a problem with my Sony Digital Video Camera Recorder model No. DCR-SR20E can you please help me resolve an Error: C:13:02 that keeps displaying on the screen with this message below: overheated. Cannot access media. Turn of power and leave for awhile in a cool place?
 
probably there is a problem with your disk (mini disk), if your camera support memory card, remove that disk and use memory card. if it works then you have to replace that disk.

for more information read here
https://us.en.kb.sony.com/app/answe...rror-when-trying-to-play-or-transfer-video-to
 
Habari Chief, unajua data recovery tool yoyote ya kwenye simu ambayo haihitaji ku root simu?!
Mkuu nimecheki Sasa hivi haiwezekani kupata mafile ya android 100% sababu ya Encryption ya android, unachopata ni cached files, mfano kama ni picha, ile picha halisi yenye resolution kubwa huipati Bali unapata thumbnail ambazo wanazitumia kwenye gallery na app zifananiazo ambazo ni low resolution za ile picha halisi.

Wewe ulikwama wapi?
 
Hata hizo thumbnails sizipati. Apps nying zinascan lakini zinakuletea picha ambazo zipo tayari kwenye simu
 
Umejaribu apps kubwa za kulipia? Kama Dr fone ya wondershare, easus etc jaribu trial scan warakuonesha walichofanikiwa then watataka ulipe.

Scan tu ujue zipo ama hazipo.
 
Za kulipia zipo ila nilikuwa najaribu kutafuta za bure. Hiyo EaseUs nilidownload ya pc lakini haisomi storage ya simu. Kama itashindikana kabisa nitaangalia ya kulipia tu
 
Lengo hapa mkuu ni kuangalia kama zipo, kama zipo ndio unahangaika na za bure baadae.

Easeus wana app playstore inaitwa Easeus mobisaver
 
Nilidownload nayo, inaonyesha picha ambazo zipo tu kwenye simu lakini sio deleted. Inaonekana labda mpaka nilipie!
 
Hata ukilipia ni hayo hayo mkuu, Dr fone nayo jaribu, ikikataa kuna possibility kubwa simu yako ina encryption kali
 
Back
Top Bottom