Telegram imeachia ujumbe wa kutafsiri sauti

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
View attachment 2831222

Mtandao wa Telegram imeachia feature mpya kwa watumiaji wake kuwa na uwezo wa kutafsiri sauti kuwa maandishi kwa urahisi kupitia simu zao.

Inaitwa voice Transcription mwanzoni ilikua inapatikana kwa watumiaji ambao ni premium pekee lakini sasa kwa watumiaji wote lakini wasio lipia Bado wamepewa limit baadhi ya vipengele.

Inakupa uwezo wa kutafsiri sauti kupitia lugha mbalimbali kabla haijakuletea maneno uweze kuyasoma. Watumiaji ambao wanatumia free version wanaweza kubadili sauti kuwa maneno ndani ya message mbili tu kwa wiki wakati wale wa Premium version ni Unlimited.

Feature nyingine mpya wanazozileta Telegram
Watumiaji wake kuwa na uwezo wa ku repost telegram stories ambayo mtu amepost kwa marafiki zake au channel ukiwa na uwezo wa kuongezea Text,, audio au video.

View attachment 2831223

Video message, hii inampa mtu uwezo wa kuweza kutuma video ya maneno kwenye stories.
View attachment 2831224

Profile colors watumiaji wa premium telegram wanaweza kubadili profile zao kwa kuziwekea rangi mbalimbali na logo.

Custom react on channel , admin sasa anaweza kuongeza au kupunguza emoji mbalimbali kwenye channel.

TeleNew%20%E2%80%93%201.jpg


#bongotech255
 
Hii feature kwenye simu za Google Pixel ipo kwenye settings tu unai enable.. N'way telegram wako mbele ya muda kuliko wale wahuni wa WhatsApp.
 
Back
Top Bottom