Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,321
- 2,693
View attachment 2835548
Wiki mbili zilizopita Korea ya kaskazini ilifanikiwa kurusha satellite yao ya kijeshi ya kijajusi Angani kwa ajili ya masuala ya kiusalama.
Hatimaye, Korea ya kusini imejibu mapigo kwa kurusha satellite yao ya kwanza ya kijajusi ya masuala ya kijeshi kwenye anga za juu ya peninsula kupitia roketi ya SpaceX baada ya Pyongyang kurusha satellite yake ya kwanza wiki iliyopita.
Hivyo Korea ya kusini imefanikiwa kurusha satellite yake ya kwanza ya kijajusi iliyojengwa ndani ya nchi yao ili kuweza kufuatilia nchi ya Korea ya kaskazini kwa ajili ya masuala ya kiusalama huku wakiwa na Nia ya kurusha Nyingine 4 mpaka kufikia mwaka 2025.
View attachment 2835549
Satellite hiyo ambayo imewekwa Angani Ina uwezo wa kuzunguka Dunia kwa umbali wa 400km mpaka 600km na kuweza kutambua vitu vidogo vilivyopo Dunia mpaka kufikia 30cm na kuona vizuri.
Urushaji wa satellite zote ni kuongeza usalama dhidi ya nchi ya Kila mmoja wao ili kuweza kutambua taarifa muhimu ikitokea kutatokea machafuko ya amani (vita) ni rahisi kujua.