Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari jf. Nataka kudownload hii application kwenye simu yangu (sony experia) jee inaweza kufanya kazi? Au mpaka kwenye computer? Naona ni kubwa sana
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba mnitajie apps nzuri za kustream mpira online via smartphone ya Android........ Natanguliza shukrani wakuu.......
0 Reactions
2 Replies
712 Views
kwa anaejua kuitumia hii prog naomba aokoe jahazi
0 Reactions
0 Replies
843 Views
naomba fahamishwa wapi nitapata taa za mbele, za nyuma, medgadi na boneti vya Nissan x trail ya 2002. naomba bei zake pia. unaweza ni PM kwa maelewano
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Wakuu me si bora sana katika teknolojia ya simu za mkononi, nataka kununua simu na nimepata option ya simu mbili kati ya hizo tajwa hapo juu, najua kuna wataalamu humu naombeni mnipe wazo ipi bora...
0 Reactions
42 Replies
8K Views
Msaada, nina simu alphone Model No. S7562 haifungui web page ya facebook. Nifanyeje?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sorry but this does nat work anymore.. Systems are fixed, up an runin.. Pole kama imekupita.. Maybe next time ull be the first to know! :poa:
8 Reactions
102 Replies
20K Views
Natumaini ni wazima wa afya. Naomba yeyote mwenye utaalamu wa hiyo kitu hapo anipe ujuzi. Thanx
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wana TECH.? Nimewah kutumia simu mbalimbali zenye os tofauti,mfano:- NOKIA LUMIA 620(WP 8).. SAMSUNG GALAXY S3(ANDROID,ICECREAM SANDWICH).. TECNO P5(ANDROID JELLYBEAN).. Os...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
hizi ni baadhi za Eaphones ambazo ni maarufu sana. si mbaya kama ukizielewa
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Hello wanajamii, Nimetumiwa blackberry bold 9870 T-Mobile toka US, aliyenitumia ameniambia imeshakuwa unlocked, lakini sipati services zozote nikiweka line yangu ya Vodacom. Nimeenda Vodacom...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari! Nitapata wapi betri mpya ya HP Probook 4510s na bei yake ni shillingi ngapi?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
:grouphug:nimeiona sehemu fulani nikawa interested nahisi pia kuna mtu atakuwa interested pia :typing: Edit ArticleHow to Create a Free Virtual Wifi Hotspot on Your Laptop...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
nimeweka Jellybean 2.3.6 kwny Galaxy Y shida nikipiga picha znatoka zmegeuka upande nisoutaka, Seting za camera naona Zipo Okey, msaada wako Tafadhal
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Guys, I don't know what what I was thinking, Jana mchana kuna sehemu went to fetch some movies and found out that my 1.5TB external hard drive is full and so had to delete some movies randomly...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilinunua TV aina ya LG (LED) 47 Inch tokea mwaka February, 2012. Nimeitumia vizuri tu lakini ilipofika March 2013 ikaanza ugonjwa ambao mpaka leo unaendelea.Ukiiiwasha na kutumika kwa muda kama...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mysterious rock found by Mars rover: 'We were absolutely startled'By Mike Krumboltz, Yahoo News 14 hours ago The Sideshow...
0 Reactions
0 Replies
947 Views
Plz naomba imnisaidie mwenye kuweza Psp yangu imezima ghafla na inakaa standby Yaani ukiiwasha inawaka taa ya kijani tu plz Wakuu naombeni msaada wenu!!!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jf nackia kuna CD ya kuweza kumuandaa mtoto kujifunza kingereza, akiwa na umri wa miezi 8 na kuendelea, mwenye kujua hili tafadhari naomba msaada wako kuweza kuipata. my Son anamwaka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana JF, laptop yangu kunapartion nimeona delete kimakosa lengo ilikuwa ni kushirink kasa ikaenda kwenye kudelete. Haikuwa drive C. Sasa laptop ikiwaka inanipa ujumbe juu -Error: No such partition...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom