Msaada kuhusu TV LG (LED) 47 Inch

Msaada kuhusu TV LG (LED) 47 Inch

SAIZI YANGU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2013
Posts
381
Reaction score
83
Nilinunua TV aina ya LG (LED) 47 Inch tokea mwaka February, 2012. Nimeitumia vizuri tu lakini ilipofika March 2013 ikaanza ugonjwa ambao mpaka leo unaendelea.Ukiiiwasha na kutumika kwa muda kama wa masaa mawili, inakata picha ila sauti inaendela kama kawaida. Ukiizima na kuiwasha, inaonesha kama kawaida. Wakati mwingine hukatika hata baada ya nusu saa. Naombeni msaada wenu:
1. Tatizo nini ni?
2. Hapa Dar ninaweza kuipeleka kwa mafundi gani wakaitengeneza vizuri ukichukulia kuwa kipindi cha guarantee (mwaka mmoja)kilikwishapita.
 
Ningekushauri uende kwa wakala yeyote wa LG aliyekaribu nawewe atakusaidia kukwambia service centre yao iko wapi,then hata kama mda wa warranty ukiwa umeisha unaweza watumia walewale mafundi wao kukutengenezea kwa kuwalipa pesa, manake wale mafundi wa kampuni huwa atleast wanajua wanachokifanya..
 
Ninashukuru nitafanya hivyo.

jaribu kucheki distance uliyoweka btwn a wall. matobo ya kupumulia ksma yapo nyuma kabisa siyo kwa juu jaribu kuisogeza mbele or yo need an a/c itakuwa inapata moto.
 
jaribu hilo ikishindikana nitakupa number ya technician bt wa samsung humuombe msaada anaweza kukusaidia.
 
Nadhani ungenisaidia namba hiyo kaka kwani nimejaribu lakini imezima tena. Ipo mbali na ukuta na nikaiwekea na feni kubwa lakini imezima pia. Natanguliza shukurani.

jaribu hilo ikishindikana nitakupa number ya technician bt wa samsung humuombe msaada anaweza kukusaidia.
 
Labda kuna mtoto alibadili settings.Aliweka tv izime kila baada ya muda fulani,inaitwa sleeping mode,hebu cheki.
 
Nilicheki Mkuu lakini si hivyo maana inazima kwa muda na vipindi tofauti.

Labda kuna mtoto alibadili settings.Aliweka tv izime kila baada ya muda fulani,inaitwa sleeping mode,hebu cheki.
 
Zima hilo dude kwa zaidiy a dakika tano ukiwa umechomoa waya kabisa ya umeme ndio njia ya kureset haya ma tv ya LG.. then washa, tatizo likiendelea basi zima tumia blower kulipuliza, likigoma tena basi peleka service centre kuna capacitors flani hua zinapenda kuungua sana kwenye hizi LG TVs hiyo case yako si ya kwanza, nyingi sana zimekua na tatizo hilo...
 
Nashukuru sana mkuu. Nimejaribu lakini inaonekana lazima nipeleke kwa fundi, tatizo fundi gani wa uhakika?

Back
Top Bottom