Msaada. Camera ya simu inatoa picha zimegeukua

Msaada. Camera ya simu inatoa picha zimegeukua

Sambuka

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
317
Reaction score
33
nimeweka Jellybean 2.3.6 kwny Galaxy Y

shida nikipiga picha znatoka zmegeuka upande nisoutaka, Seting za camera naona Zipo Okey,

msaada wako Tafadhal
 
Jaribu kitu kifuatacho, pengine kuna system files zinazo - Support camera zimecorrupt.

kwanza uninstall program yoyote ya camera ambayo haikuja na simu...

1.Nenda Settings--> security-> then Tick Unknown sources.
2.tumia simu yako ingia google, then search for "NewCameraApp.apk"
3. ukipata hilo file Open and install , restart simu yako
4.try to take a shot and see if solved.
 
nimeweka Jellybean 2.3.6 kwny Galaxy Y

hiyo ni Gingerbread

Android 4.x ndio Jelly Bean

Galaxy y huwezi ipeleka hata kwenye ice cream sandwich

kwa haraka haraka nahisi umeweka customized rom... Kama waweza rudisha stock rom yake
 
Back
Top Bottom