Msaada: Natafuta betri ya HP Probook 4510s

Msaada: Natafuta betri ya HP Probook 4510s

Jimjuls

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
486
Reaction score
168
Habari! Nitapata wapi betri mpya ya HP Probook 4510s na bei yake ni shillingi ngapi?
 
Mkuu

Hata mimi natafuta betri ya HP 620.
Tusubiri wadau waje watujuze
 
batry zipo njooni k'koo dukani bei za hlzi hp ni 120,000/=
0716-844978
 
Habari! Nitapata wapi betri mpya ya HP Probook 4510s na bei yake ni shillingi ngapi?

Kama mpo Dar nendeni pale kwa Paschal uhuru round about karibu na vodashop kuna jamaa anaagiza betri,screen etc toka Dubai.
Betri unapata kwa tsh 120,000 hadi 80,000.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kama upo Dar njoo ofisin Kinondoni studio hata kama sina nakuagizia toka nje na unaipata ndan ya week. Kwa aliye nje ya dar nipigie 0655003510. Kifaa chochote ntakuagizia
 
Back
Top Bottom