Your welcome mkuu.. ENJOY ITShukrani mkuu, it works very fine na ndio hii ninayotumia sasa. 2gb for free! siamini macho yangu!!!!
haha :lol: pamouja sana mkuuLong live e2themiza!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mbona mm inanigomea inania ambia ni comfirm kwenye email yangu then nikikomfirm naletewa matangazo tu.! Hebu nieleweshen hapa inakuwaje?
Mkuu e2themiza, wewe ni mumoumer!
Natamani waishtukie kabla sijamaliza hizi 2GB zao.
Long live broder!
japo sijajaribisha ila kusoma titile namuamini huyu mtu.thankx 100 times
thaanxxx e to ze mizaaaaa
we have to say thankx bro it works
wakuu mbona nikibofya hiyo link sipati maujanja, inafungua mambo tofauti kabisa
wakuu mbona nikibofya hiyo link sipati maujanja, inafungua mambo tofauti kabisa