How to unlock a blackberry?

Riwa

Platinum Member
Oct 11, 2007
2,607
3,065
Hello wanajamii,

Nimetumiwa blackberry bold 9870 T-Mobile toka US, aliyenitumia ameniambia imeshakuwa unlocked, lakini sipati services zozote nikiweka line yangu ya Vodacom. Nimeenda Vodacom wakasema iko locked kwa T-Mobile services. Nimeenda Sapna wanisaidie ku-unlock wanaleta longo longo nyiingi na wana tuhuma za kukwapua spare toka kwenye simu za watu hivyo sikuweza kuiacha pale waichezee.

Kama kuna mwanajamvi mwenye ujuzi huo au anamfahamu mtu wa kuaminika mwenye ujuzi huo anisadie.
 
  1. Call your carrier.
  2. Ask for the MEP code.
  3. Give them your IMEI number.
  4. To get your IMEI number, type this on your phone, *#06#, and it should pop up.
  5. Once you get your MEP code, turn off your wireless radio on your phone.
  6. Go to SETTING or OPTIONS.
  7. Then go to ADVANCE OPTIONS.
  8. Then go to SIM CARD
  9. Type "MEPD" on your phone.
  10. You should see "Network as Active"
  11. Hold SHIFT + type "MEPE" or "MEP2″
  12. You should see "Network as Disabled"
  13. You are now the proud owner of an unlocked Blackberry
Kaka ishu hapo ni kuipata hiyo MEP code, wasiliana na hao T-mobile wakupatie hiyo MEP code then ufuate hizo procedures.
 
Toa maelezo zaidi!

Ukiweka sim card ya VODA inakuuliza Unlock Code?

if so buy the unlock code from online and follow the instructions below

BlackBerry Unlock Instructions (83xx/85xx/88xx/8900/9000/9300/96xx/97xx)

• Ensure a SIM Card is inserted
• Go to ‘Manage Connections'
• Click on ‘Turn All Connections Off'
• Go to ‘Options'
• Click on ‘Advanced Options'
• Click on ‘SIM Card'
• Type ‘MEPD' (letters will not appear on-screen but a menu will pop up.)
• Type ‘MEP2′ (user will be prompted to enter MEP code)
• Enter the MEP2 code (CONFIRM you get "Code Accepted" message)
o *If you also have a MEP4 code, type ‘MEP4′ (you will be prompted to enter MEP code)
o Enter the MEP4 code (CONFIRM you get "Code Accepted" message)
• Reboot device
• Go to ‘Manage Connections'
• Click on ‘Restore Connections'
• Device is now unlocked

Note: only voice will work, data will never work

kama haikulizi kitu ni CDMA hiyo it will never work
 
kama vipi relod software yake...........inaondoa software ya mwanzo inaweka mpya.
 
actually nadhani cdma works if utatumia zantel, sasatel au ttcl, i thnk hizo networks zinatumia cdma kwa bongo na wengine gsm
 
  1. Call your carrier.
  2. Ask for the MEP code.
  3. Give them your IMEI number.
  4. To get your IMEI number, type this on your phone, *#06#, and it should pop up.
  5. Once you get your MEP code, turn off your wireless radio on your phone.
  6. Go to SETTING or OPTIONS.
  7. Then go to ADVANCE OPTIONS.
  8. Then go to SIM CARD
  9. Type "MEPD" on your phone.
  10. You should see "Network as Active"
  11. Hold SHIFT + type "MEPE" or "MEP2″
  12. You should see "Network as Disabled"
  13. You are now the proud owner of an unlocked Blackberry
Kaka ishu hapo ni kuipata hiyo MEP code, wasiliana na hao T-mobile wakupatie hiyo MEP code then ufuate hizo procedures.

last time i checked hawatoi hiyo MEP code mpaka contract yako iwe imeisha, anyway, i may be wrong
 
Hello wanajamii,

Nimetumiwa blackberry bold 9870 T-Mobile toka US, aliyenitumia ameniambia imeshakuwa unlocked, lakini sipati services zozote nikiweka line yangu ya Vodacom. Nimeenda Vodacom wakasema iko locked kwa T-Mobile services. Nimeenda Sapna wanisaidie ku-unlock wanaleta longo longo nyiingi na wana tuhuma za kukwapua spare toka kwenye simu za watu hivyo sikuweza kuiacha pale waichezee.

Kama kuna mwanajamvi mwenye ujuzi huo au anamfahamu mtu wa kuaminika mwenye ujuzi huo anisadie.

pole sana mkuu huitaji kuifalash nitumie imei no yake mep code zake nakuchakachulia kama upo dar nitafute au npm tatizo lako litakwisha
 
Ndibalema, Majoe Nyenzi, Dr Phone ahsanteni sana...nimefanikiwa. Sio expert kwenye mambo ya simu lakini nimefanikiwa kwa msaada wa mtu wa IT hapa ofisini kwetu. We did exactly like Ndibalema has adviced. we managed to get the MEP 2 and 4 codes kwa kutumia IMEI number, na kufuata steps kama ulivyoainisha, and everything works! I am enjoying the world of Blackberry now, JF 24/7!

Thanks a bucnh guys. I love JF!
 
hongera kwa kufanikiwa mkuu nitafufua post yangu ya free bb unlock code nilitoa maelezo kwa kirefu
 
Kwa nini Mod hawagandishi au kunatisha ile thread ya ku unlock simu watu wawe wanaweka maswali yao yote ya kunlock hapo

Hawa viongozi wa JF macho yao ni kwenye siasa tu.
 
kwakweli tumeshaombaga sana watufanyie hivyo lakini wapi yumenyamaza wacje wakatuban
 
Using the codes you can unlock your mobile because its safe for your mobile........
Get the unlock code for your blackberry mobile from this site Simple Unlocking , before that get the unlocking instructions here Mobile Unlock Guide , it gives the step by step instructions to get the mobile unlocked..........
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom