msafwa93
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 4,840
- 6,148
Habari zenu wana TECH.?
Nimewah kutumia simu mbalimbali zenye os tofauti,mfano:-
NOKIA LUMIA 620(WP 8)..
SAMSUNG GALAXY S3(ANDROID,ICECREAM SANDWICH)..
TECNO P5(ANDROID JELLYBEAN)..
Os maarufu pekee ambayo sijawahi kutumia ni IOS.!
Katika kutumia os hizo hapo juu nimekuja kugundua kwamba for smooth running of my phone hamna kati ya hizo inayoifikiaa BlackBerry os10..
NI kweli kwa sasa Blackberry sio maarufu kiihvyo,uki compare na simu nilizozitaja hapo juu,na kwasababu waTZ tunapenda kuchukua vya kusikia ndio maana..
Kiukweli kwa upande wa applications BlackBerry wapo nyuma,wana app chache sana,uki compare na android lakini kwa kuligundua Hilo kwa sasa ukiwa na BlackBerry os10.2 unaweza kutumia app za android.!
BlackBerry Os10 hailag,huwez kukuta simu ime stuck kwa hali yoyote ile,na pia ipo very secure..
BlackBerry Os10 ina best UI comparing na nilizotaja hapo juu..
Nimgependa kumshauri mtu yoyote ambaye yeye kwake simu ni for proffesional uses,go for BlackBerry q5,q10,z10,z30..
Ukiachana na tabia ya waTZ kuishi kwa kukaririshwa kuwa BlackBerry imekufa hii ndio os bora kwa sasa uki compare na hizo nilizotaja..
Cc:: chief-mkwawa CYBERTEQ njunwa wamavoko @c++

Attachments
Last edited by a moderator: