Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

hii kitu inatisha check hapo my morning speed
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Nahitaji program ya Testout kwa ajiri ya cisco i.e CCNA 640-802 bure au kwa kulipia no problem cha muhimu iwe inafanya kazi.Kama kuna mtu anayo tuwasiliane Natanguliza shukurani...
0 Reactions
3 Replies
989 Views
Kutwa utasikia sijui Samsung kamshitaki Apple kwa kuiba idea yao ya kamera mara umbo nk nk Lakini kuna hizi kampuni zinatengeneza Samsung fake, kwanini hazikamatwi? Hata kama ni za uchochoroni...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
can any one please help me what is the difference between these two in terms of Speed. and which one should i buy. thanks in advance
0 Reactions
7 Replies
2K Views
I know everybody here is using Google as a search engine. I agree, Google is popular, but I think Bing is better,, Just try to search something , one same thing using both of them n the results...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Nifanyaje kuformat memory card ambayo nikiformat kwenye pc nikaiweka kwenye cm tena inarud vlvl yaan kama haijaformatiwa. Nimekua nikirudia hl zoez lakin wap? Msaaada plzzzzz
0 Reactions
0 Replies
574 Views
Habarini humu.. Nani anafahamu jinsi ya ku unlock smartphone inayotumia line moja esp. hizi Huawei
0 Reactions
1 Replies
544 Views
Wakuu kuna kuyumba fulani hivi kwa sauti hasa unaposikiliza kwa makini muziki/wimbo.Yaani sauti inakuwa inashake fulani hivi kama betri zimechoka vile! Usiposikiliza kwa makini huwezi kugundua ila...
0 Reactions
3 Replies
953 Views
Msaaada!! Mwenye charger adapter ya laptop aina ya belnea o book 1301, naomba aniuzie au anijulishe ni wapi nawezakupata hiyo adapter....natanguliza shukrani nyingi sana
0 Reactions
1 Replies
518 Views
asubuhi kwenye idm,speed ilikuwa hivi... saa hizi jioni kwenye torrent,speed ipo hivi..
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuna siku niliona mtu kapost kuhusiana na e-bay na kuna watu walikua wanahofu nauoga balaaa sasa kipindi hicho mimi nilikua nimeagiza smart tv kwa $ 700 na nilifanya hivyo baada ya kufanya utafiti...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
wakuu, naona shimo limetema. sasa bbm inapatikana kwa android, naskia kwenye play store wameshaiweka(non-samsung android phones), ila mimi nimeipata kwa kufungua native browser nakuandika: BBM...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Natanguliza shukrani kwenu. Wadau naomba msaada wa jinsi ya ku-unlock simu tajwa hapo juu, ni simu niliyotumiwa toka nje ya nchi sasa kwa huku haikubali laini yoyote. Inatumia Android version 4.0.3.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
I know this is rather awkward, hapa mnaexpect either niwaulize swali ama nijibu, bt today I decided to break off,, Nalala leo mapema(huwa nalala huko ma saa sita),, hivo basi nawawish wote...
0 Reactions
0 Replies
437 Views
1. Go to setting> security> unknown sources to mark 2. Go to appdroid.ws/appdroid_for_android and download Appdroid application and install 3. Launch Appdroid and search any Android Apllication...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
nadevelop theme kwa ajili ya website yangu. theme ni responsive ila ikiwa in mobile mode menu haitokei. wataalamu hebu mnisaidie. natanguliza shukrani cc Young Master, stefano mtangoo, Kang...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada wa kuchakachua modem ya vodacom hi-link ndo nimenunua leo inaweza maelezo na jinsi ya kufanya ilishatolewa ial sikuwai soma maana sikua na interest nayo mpaka leo nilivyonunua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu habari zenu, natumaini mu wazima. ningependa kujuzwa kuna baadhi ya watu hasa wenye email adres za yahoo ambapo nimekuwa nikiwasiliana nao na mwsho jumbe zao hutokea majna yao kamil namba...
0 Reactions
2 Replies
813 Views
Wanajamii tafadhali msaada wenu nauomba nimenyanyasika vya kutosha. Mimi niko Congo Kinshasa nina line ya Voda ya Congo awali nilikuwa natuma sms bongo bila tatizo zinafika. Lakini sasa ni wiki ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nina ka android cheap device from china,internal memory imejaa ila nimeweka SD-Card ya 8GB,Tatizo nashindwa kudownload More Apps Naombeni mnisaidie jinsi ya kutatua hili tatizo hili...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom