Ndege hai aina ya Kipanga "Peregrine Falcon" anasifika kwa kasi yake, hufika zaidi ya kilomita 320 kwa saa (200mph) wakati wa kupiga mbizi angani (Aerodynamic Dive).
Kinadharia kwa kasi hii, hewa...
Habarini wadau,
Nauliza jins ya ku freez app ambazo sizitumii mara kwa mara ili kupunguza matumiz ya bando,nilikuwa natumia infinix smart 6 option ilikuwepo Lakini kwenye samsung A04 siioni kama...
Habarini wadau,
Nauliza jins ya ku freez app amazon sizitumii mara kwa mara ili kupunguza matumiz ya bando,nilikuwa natumia infinix smart 6 option ilikuwepo Lakini kwenye samsung siioni kama...
Ada Lovelace alikuwa binti wa mshairi maarufu Lord Byron na Annabella Milbanke Byron. Ndoa yao ilidumu kwa muda wa mwaka mmoja tu, na Ada hakuwahi kukutana na baba yake. Ili kupambana na tabia...
Kwa sasa kutokana na maendeleo ya technology basi biashara nyingi zinafanyika kiurahisi zaidi tofauti na mwanzo.
Wafanya biashara wengi wanatumia mifumo mbalimbali kuendesha biashara zao kwamfano...
Ipo hivi, akili mnemba au kwa kimombo Artificial intelligence AI's zimekuwa nyingi sana sikuizi. Ila hii ChatGPT imekuwa msaada mkubwa kwa watafutaji ajira.
Fanya hivi fungua account ya ChatGPT...
Kwa walimu wa shule za msingi nazani zitawarahisishia kazi zenu kipindi hichi Cha kuandaa maatokeo.
INACHOWEZA KUFANYA
1 Kutambua daraja za kila somo (A-E)
2 kutafuta wastani kwa kila mwanafunzi...
Heri wakuu.
Mwenye uzowefu na hiyo box,
Najaribu kuweka simcard,inaisoma lakini haiwezi kuconnect internet.
Tafadhali anaeijua,naomba anijuze shida yaweza kuwa nini
Habari zenu wakuu
Nimekuja kwenu nikiamini hapa Kuna wataalamu Wana sayansi bomba wenye ujuzi na maarifa mengi
Nilikua naomba ushauri kwenu nipo chuo na nimetumia muda mwingi kufanya tafiti na...
Bilionea wa kiteknolojia Elon Musk amesema kwa mara ya kwanza kampuni yake ya Neuralink imefanikiwa kupandikiza kifaa maalum cha elektroniki kwenye Ubongo wa binadamu kisichotumia nyaya...
Habari wana jamii naomba mwenye kujua app nayoweza kudownload nyimbo na hata nikibadili simu nizikute mgano picha kwenye google photo nikibadili simu nazikuta.nataka kwa nyimbo sasa. Maana natumia...
Katika harakati zangu za kutembea sehem tofauti hapa tanzania nilipita moshi mwezi uliopita, nikalala kwenye lodge moja nzuri sana, palikua na tv pale ndani, ile tv sikuielewa mchanganyiko wa...
baada ya kupokea PM nyingi kutoka kwa wadau mbalimbali kuwa badala ya kuweka hapa link ambazo wengi hawawezi kuziplay, wameshauri niweke kwenye app moja ambayo itakuwa rahisi kwa wote kuplay...
Wakuu kama title inavyojieleza nina kitochi hapa huwa kinanisevu sana ku hotspot PC na simu yangu muda mwingine, sasa kinaboot kinaishia kwenye logo.
Nahitaji msaada namna ya kukiflash, hii ni...
Tumepiga kelele weeee ila wapi!!!!
wanatubania njia za kupokea pesa kirahisi kutoka nje huku wao wanazunguka tu na viti huko maofisini wakisubiri mishahara yao wakati vijana wasio na ajira...
Heshima kwenu wakuu,
Je, Inawezekana kuonyesha mpira kwenye TV kwa kutumia smartphone? If yes naomba kujuzwa vitu muhimu kama cables needed and apps.
Sent using Jamii Forums mobile app