• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Leo jioni naleta hapa free app ya kuangalia TV mbalimbali, kaeni tayari

guru_observer

guru_observer

Senior Member
Joined
Jan 25, 2020
Messages
156
Points
250
guru_observer

guru_observer

Senior Member
Joined Jan 25, 2020
156 250
baada ya kupokea PM nyingi kutoka kwa wadau mbalimbali kuwa badala ya kuweka hapa link ambazo wengi hawawezi kuziplay, wameshauri niweke kwenye app moja ambayo itakuwa rahisi kwa wote kuplay.

sasa kaeni tayari leo jioni kwa majira ya IST nashusha free app ambayo itaitwa FREE IPTV


UPDATE
https://www.mediafire.com/file/uderusmm7vo4fhd/Free_IPTV.apk/file ZINGATIA: NI MUHIMU UTUMIE VPN UNAPOTUMIA APP HII, ISIPOKUWA KAMA UNATAZAMA CHANNEL ZA STARTIMES TUU NDIO USIWASHE VPN


Install VPN yoyote, ingia play store then tafuta VPN yoyote, install then hakikisha umeiwasha ndipo utumie hiyo app, it will help to hide your real location, unaweza tumia Turbo VPN Turbo VPN- Free VPN Proxy Server & Secure Service - Apps on Google Play

--------

UPDATES
Baada ya maombi ya kuongeza channel nyingine za sports sasa tumeongeza channel za beIN sports 1,2,3, Sony Ten 1,2,3,6, ESPN, Sport Klub 1,2,3,4,5,6,7,8,9 &10, BT Sports 1&2, Fox Sports 1,2,&3. na kunaamini kwa channels hizo hakuna mchezo wowote ambao utakupita.

Pia kwa sababu ya wingi wa channels sasa utaweza kusearch channel kwa kubonyeza search icon iliyopo juu upande wa kulia
-----------
UPDATES

Tumeongeza channel 15 zingine, ambazo ni hizi zifuatazo
Local channel tumeongeza hizi
Star TV
Channel ten
kwa wapenzi wa movies tumeongeza hizi
AMC
Bollywood TV
Movies Now
MNX Movies
Mylife4U
Romedy Now
Reel Px Action
Reel Px Family
Reel Px Comedy
Reel Px Unlimited
Sony Pix
Star Movies
Filmbox
---------
UPDATES

Channel mpya 6 za Sports Zimeongezwa
Sky Sports EPL
Sky Sports Action
Sky Sports F1
Sky Main Event
Sky Sports Mix
Sky Sports Golf
-------------
UPDATES
WAPENZI WA CHANNEL ZA HABARI TUMEONGEZA CHANNEL ZIFUATAZO

BBC NEWS
CNN
ALJAZEERA
BLOOMBERG
mambo mazuri bado yanakuja kwa kuzingatia mapendekezo yenu
------------------

UPDATES
tumeongeza channel za Sports, Movies & Series zifuatazo

Sportdigital
AdSports 1,2,3&4
Fox Classics
Fox Family
Fox Movies
Fox Sports
NBC Sports
SkyNet Sports HD
SkyNet Sports 1,2,3&4
Arena Sports 1,2,3,4 & 5
Premier Football 2

Documentaries & wildlife channel
Nat Geo
CGTN Documentary

update

hakutakuwa na any technical support pia no one will be responsible to do maintenance kwa app hii
 
Scars

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Messages
11,074
Points
2,000
Scars

Scars

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2017
11,074 2,000
Tutaweza kuangalia mpira wa ligi kuu tz?

It's Scars
 
kawoli

kawoli

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Messages
4,741
Points
2,000
kawoli

kawoli

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2014
4,741 2,000
Jioni ishafika mkuu. Lete mambo. Maana huku China hatupati hizo channel jabisa
 
Draxler2

Draxler2

Member
Joined
Apr 24, 2016
Messages
17
Points
45
Draxler2

Draxler2

Member
Joined Apr 24, 2016
17 45
baada ya kupokea PM nyingi kutoka kwa wadau mbalimbali kuwa badala ya kuweka hapa link ambazo wengi hawawezi kuziplay, wameshauri niweke kwenye app moja ambayo itakuwa rahisi kwa wote kuplay.

sasa kaeni tayari leo jioni kwa majira ya IST nashusha free app ambayo itaitwa FREE IPTV
yan kaka unaambiwa hivi ni kitu ngumu sana kuprevent link zisiwe captured maana hata dstv wao wameshindwa kwahyo wanachofanya wanabadlisha link kila baada ya masaa 12 ila kwa azam wao czan kama wataweza ww tuletee links hizo ila czan kama ni vyema kuzimwaga hapa mtu akitaka mtumie inbox
 
guru_observer

guru_observer

Senior Member
Joined
Jan 25, 2020
Messages
156
Points
250
guru_observer

guru_observer

Senior Member
Joined Jan 25, 2020
156 250
yan kaka unaambiwa hivi ni kitu ngumu sana kuprevent link zisiwe captured maana hata dstv wao wameshindwa kwahyo wanachofanya wanabadlisha link kila baada ya masaa 12 ila kwa azam wao czan kama wataweza ww tuletee links hizo ila czan kama ni vyema kuzimwaga hapa mtu akitaka mtumie inbox
nataka nikupinge kuzuia link kuwa captured inawezekana vizuri tuu tena sana kuna simple solutions kufanya hivyo, hata ikiwa captured haitaweza ku_play.
 
Hajto

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Messages
3,454
Points
2,000
Hajto

Hajto

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2013
3,454 2,000
Kwani jamani iyo App ya Azam Max unailipia ? Nimeona tangazo lao wanasema sijui kuna namba za kadi unaingiza inakuwaje hapo
 
MWEMBEKIUNO

MWEMBEKIUNO

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2016
Messages
789
Points
1,000
MWEMBEKIUNO

MWEMBEKIUNO

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2016
789 1,000
nipo australia huku jion tyr mkuu
 
mohammed khatibu

mohammed khatibu

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2018
Messages
435
Points
500
mohammed khatibu

mohammed khatibu

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2018
435 500
Joined 25, January 2020


Hii ni marketing strategy!

#joking
 

Forum statistics

Threads 1,404,245
Members 531,540
Posts 34,448,516
Top