Application inayo dowload nyimbo youtbe na hata nikibadilisha simu nyimbo zangu niendelee kuwanazo kwenye simu mpya.

tiku

JF-Expert Member
Oct 31, 2015
441
244
Habari wana jamii naomba mwenye kujua app nayoweza kudownload nyimbo na hata nikibadili simu nizikute mgano picha kwenye google photo nikibadili simu nazikuta.nataka kwa nyimbo sasa. Maana natumia vidmate na tube mate lakini nikibadili simu naanza kudownload upya.msaada mwenye kujua
 
Natumia boomplay. Nyimbo nilizodownload kUsikiliza offline nikibadili simu zinapotea. Nakuja kuzikuta kwenye favourite songs bila kuwa downloaded.
Hafu tajiri ya nini u-download bwana wewe stream online kwenye Apple Music na Sportfy kudownload tuachie sisi wenye Pixel
 
Habari wana jamii naomba mwenye kujua app nayoweza kudownload nyimbo na hata nikibadili simu nizikute mgano picha kwenye google photo nikibadili simu nazikuta.nataka kwa nyimbo sasa. Maana natumia vidmate na tube mate lakini nikibadili simu naanza kudownload upya.msaada mwenye kujua

Download and save in your Google Drive...

Download hii app

Maelezo mengine fuatisha hapa
 
Back
Top Bottom