Bilionea wa kiteknolojia Elon Musk amesema kwa mara ya kwanza kampuni yake ya Neuralink imefanikiwa kupandikiza kifaa maalum cha elektroniki kwenye Ubongo wa binadamu kisichotumia nyaya.
Inatarajiwa kuwa kifaa hicho kuwa kiunganishi cha ubongo na kitawasaidia watu waliopooza viungo vyote kudhibiti vifaa kwa kutumia mawazo yao pekee
Akitumia mtandao wake wa 'X' zamani ikijulikana kama 'Tweeter' kupitia chapisho lake aliloweka leo, Januari 30.2024 Musk amesema matokeo ya awali yamegundua kuimarika kwa mishipa ya neva na kwamba mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji huo ameripotiwa kupona vizuri kutokana na operesheni iliyofanyika Jumapili, Januari 28.2024
Lengo la kifaa hicho ni kutenda kama kiunganishi na ubongo kwa kusaidia kukabiliana na hali matatizo ya neva, kama vile kuruhusu watu waliopooza kudhibiti vifaa kama simu na kompyuta wakitumia fikra zao.
Credit - JamboTv