Nature vs science

LAPUA MAGNUM 338

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
424
1,139
Ndege hai aina ya Kipanga "Peregrine Falcon" anasifika kwa kasi yake, hufika zaidi ya kilomita 320 kwa saa (200mph) wakati wa kupiga mbizi angani (Aerodynamic Dive).

Kinadharia kwa kasi hii, hewa inatosha kupasua mapafu yake lakini ndege huyu huweza kufunga au kufungua kinundu kwenye pua yake ambacho hudhibiti kasi ya hewa kuingia moja.

Muundo huu pia unaotumiwa katika baadhi ya injini za ndege mwendokasi.
Mfano Mig 21, SR-71 n.k

Ndege hizi huwa na nundu zenye ncha mbele ya injini (Inlet Cone) ambazo huweza kuchomoza mbele ili kudhibiti kasi ya hewa inayoingia ili isiharibu mfumo wa ndani wa injini.

FB_IMG_1707983614537.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom