Ingia Google weka namba ya model utapata muongozo wa mtumiaji na maelezo nini ufanye likitokea neno hilo.Mwenye kujua utatuzi wa hii changamoto au fundi mzuri wa kurekebisha hili tatizo hapa dsm. Home theater inawaka mwisho inaleta ujumbe d protection.
@kelphinNimejaribu kufanya hivo lakini bado
Alete Maneno ChapMkuu bado au tayari?
Mpaka leo imeshindikanaAlete Maneno Chap
Bado haijakubaliMkuu bado au tayari?
Pole SanaMpaka leo imeshindikana
Sikuipata hi tag@kelphin
optionSikuipata hi tag
Mku unit yako imepata hitirafu
Vifaa vingi vya kisasa vinatebgenezwa kwa mfumo marumu kwajiri ya kujirinda pindi shida inapotokea
Lakini pia kwakua unit hiz za kisasa hutumia mfumo automatic wa kujiendesha huenda pia ikawa tu umechanganya taarifa
Hivyo itakubidi unonyeze button 5(for just five seconds or more) kuirudisha kwenye default mode
Kinyume na hapo itakua ni either motherboard imepata shida (ndogo au kubwa)
Lakini pia wakati mwingine husababushwa na ukaaji vby wa speaker zako
Ila ikiwa ulikua ni mdau wa kusikiliz mziki kwa sauti ya juu sana basi huenda kuna capacitor zimevimba
Au kupasuka kbsa
Itafaa iangaliwe kwa ustadi mkubwa
Kinyume na hapo utaongeza tatizo
Je nnaweza pata model number yake?
Unit hizi zinamdumo wakisasa unaojiendesha ki automaticAsee mie ya sony ndo inakuaga na mtindo huo wa kuandika protect ,,na nilipelekaga kwa fundi akasema haina shida
Kama ni mpya au ipo ndani ya warrant rudisha dukani huwa wanawasiliana na argent wao Nairobi kuna code wanaingiza humo inafungua, wanasema hiyo ni kudhibiti watengenezaji fakeNimejaribu kufanya hivo lakini bado
Pole sana mzee. Naandika hapa nikiwa sijui kama umepata msaada au la hasha.Mwenye kujua utatuzi wa hii changamoto au fundi mzuri wa kurekebisha hili tatizo hapa dsm. Home theater inawaka mwisho inaleta ujumbe d protection.