Hizi laptop zimefika Bongo?

Robot la Matope

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
7,091
13,786
Bei yake ikoje??
FB_IMG_1706185308396.jpg
 
Siku yake ya kwanza kula mmea Kageuza inasomeka jade badala ya acer

Ila yuko sawa ukiandika chini 6 inaweza kusemeka 9 inategemea na upande uliosimama
 
Nilidhani ni kitu cha maana nakuja kufungua picha nimebaki nacheka tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom