bm_fireboy
New Member
- Jul 6, 2024
- 2
- 2
Msaada namna ya ku- unlock banned Facebook account
Wakuu salamu. Kama heading inavyojieleza hapo juu, account yangu ya Facebook imefungiwa kutokana na kuhisiwa kuwa mimi ni hacker kitu ambacho hata sifikilii.
Ilitokea baada ya kubadili profile picture yangu na kuweka ya black hat (hacker) maana nilivutiwa nayo, baadae kama masaa 2 hivi kuingia nakuta wanahitaji authentication na verification za kuwa mimi ndo mtumiaji kweli?
Na mimi niliwatumia bila kusita, nikaambiwa nisubiri siku 30 for final verification and results. Ilikuwa mwezi wa pili, hadi saiv sijaona jibu lolote.
Nikijaribu kufungua account mpya inagoma 🙆♂️🥲.
Hivyo basi nilikuwa naomba msaada wenu.