Half London
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 261
- 117
Habari ndugu zangu wa JF? Mimi mzima. Computer yangu imekuwa na tatizo la kuandika power save mode na kuniletea maneno mengine halafu inawaka. Baada ya muda inaandika tena power save mode.
Nimebadilisha nyaya mbili lakini tatizo ni lile lile.Natakiwa nifanye nini kuondoa hilo tatizo. Naombeni msaada wenu wanandugu.
Nimebadilisha nyaya mbili lakini tatizo ni lile lile.Natakiwa nifanye nini kuondoa hilo tatizo. Naombeni msaada wenu wanandugu.