Wakuu!!!
Nina database ambayo ni postgresql 9.1.3.1 na natumia postgis 2.0.0.2. Fronthand ni access 2007. sasa ninavyo insert data message tajwa hapo juu inatokea. Nikijaribu kuangalia naona kila kitu kipo sawa kabisa kwenye tables zangu.... sasa najiuliza nini linaweza kwa tatizo?
Possible solution za microsoft pia zinaonekana kutozaa matunda....
Msaaa tafadhali.
Asante!