Transistor
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,061
- 1,640
Huna haja ya kununua stabilizer kwa kila chumba!
Unacho hitaji ni kununua stabilizer moja yenye uwezo wa kuhudumia vyumba vyote unavyo hitaji socket zake ziwe na ulinzi wa stabilizer.
Stabilizer hiyo huunganishwa na mfumo wa wirering ya nyumba yako,distribution system yake hufanyika katika mainswitch.
MAMBO YA KUZINGATIA
-Power rating ya stabilizer kulingana na hahitaji husika.
-Inabidi iwekewe extenal security system ambayo huwa co-oparated katika mainswitch
-Kama stabilizer ina mifumo ya manual oparation,hakikisha unaibadili kwenda katika automatic oparation.
FAIDA ZA MFUMO HUU
-Hupunguza gharama ya kununua kila chumba stabilizer
-Inapunguza matumizi ya umeme,kwa sababu stabilizer pia zina active devices zinazo tumia umeme;hivyo zikiwa nyingi ndani ya nyumba hata kiwango cha umeme zinao tumia utakuwa mwingi pia.
-Husaidia kupunguza kwa kiasi fulani tatizo la umeme mdogo katika nyumba.
-Husaidia kuongeza mawanda ya ulinzi wa vifaa vyako.
Asante
kwa maelezo zaidi call 0657-115587