Show room Toyota ?Wakuu anayejua bei ya Rav4 J milango tano, mpya kabisaa show room naomba anijuze.
Nawasilisha.
mkuu nilikuwa na maana ya rav4 new model brand newSijakuelewa
Milioni 11 au 12 kwa show room za hapaPoa mkuu. Na hizi za zamani je, mfano rav4 J ya mwaka 1997 ?
Mkuu zimeshuka?si zilikuwa sh m 80?Show room Toyota ? milioni 75
Ndio mkuu kuna jamaa yangu alichukua kwa 75Mkuu zimeshuka?si zilikuwa sh m 80?
Ndio mkuu kuna jamaa yangu alichukua kwa 75
Ndio mkuuMkuu hio 75mn ni pamoja na kodi?
Ndio mkuu
Milioni 11 au 12 kwa show room za hapa
Na Nissan Xtrail used bei gani yard za bongo.
Milioni 16 hadi 18
Kuna tofauti kati ya show room na yardMilioni 11 au 12 kwa show room za hapa