meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,832
Wakuu hili tatizo limenisumbua sana.
majina yanayoonekana ni line 1 tu lakini line 2 inasoma namba bila majina.
kuna wakati napokea simu ya bosi bila kujua kwa kuwa jina halionekani.
wataalamu hebu tusaidiane settings.