VPN gani nzuri niweze tumia net bure

VPN gani nzuri niweze tumia net bure

msuyaeric

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
862
Reaction score
1,264
Habari wakuu.! Nimeludi kwenu tena naitaji kujua VPN gan nzuri ili niweze kutumia net Bure.. Nine root simu yangu galaxy s3mini nipo natumia vr.4.4.2 cm.. Msaada wakuu
 
Habari wakuu.! Nimeludi kwenu tena naitaji kujua VPN gan nzuri ili niweze kutumia net Bure.. Nine root simu yangu galaxy s3mini nipo natumia vr.4.4.2 cm.. Msaada wakuu

jaribu DroidVPN,Troid VPN na PIA VPN
 
VPN ili kutumia net bure

its not a simple task...
Kama unataka kujifunza kutumia download PD proxy au Droid VPN kwenye PC au Simu respectively
Afu jaribu ku connect hizo VPN bila salio kwa Voda,tigo na Zantel ukifanikiwa kuzi connect successfully in most cases utapata free data....
atimes kuna tweaks zinaitaji ili uweze ku connect(google is there for this)
 
Sijajua nianzie wapi hapo
 

Attachments

  • 1420185912672.jpg
    1420185912672.jpg
    44.3 KB · Views: 434
nahitaj kuelimishwa juu ya kuroot cm yangu,model huawei y300-100-001
 
ndio kwenye server

Una run CentOS?

Maana VPN iko best installed kwenye CentOS bila errors zozote along the way

Na plent of materials ziko google maana Linux commands kwa wengie hatuwezi kumeza zote ningekua nimezimeza ningeziweka hapa
 
Back
Top Bottom