Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
jamani kuweni makini sana na hawa watu. yani mtu mimi na rafki yangu tulichanga hela tununue ps4 ebay tukalipa hela yetu tukiwa tunausbir mzigo kwa hamu .cha ajabu hadi leo tokea november hamna kitu supplier tumewasiliana nae kashatuma mzigo na hata tullpofanya tracking mzigo umefika tz sasa hapa posta ndio penye tatizo. hawa watu ni wezi au je hii situation wangapi tumo?