Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

PC yangu haioneshi neno send ili nitume email, nifanyeje wadau niweze kutuma au hiyo option imejificha sehemu gani? Pia PC nyingine kwenye button iliyoandikwa ''scoll'' panawaka mwanga wa blue...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Ninaposema bei ndogo simaanishi bei ndogo kabisa ni around laki 4 japo inaweza kupungua kidogo, mara ya kwanza nilipoiona sikuamini vitu unavyopata na bei unayolipa. nafkiri simu hii sasa...
16 Reactions
207 Replies
51K Views
Samsung imewaonya wateja wake kuhusu kutojadili mambo yao ya kibinafsi mbele ya televisheni zao. Onyo hilo ni kwa wale watazamaji ambao hudhibiti televisheni zao kwa kutumia sauti. Baadhi ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani kila nikichomeka drive yoyote ile kwenye computer yangu iwe ni flash, memo. card, hdd na hata modem nakuta folders zote zilizo kwenye drive husika zimebadilika na kuwa shortcuts. Tatizo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kuna dogo alikuwa anatumia computer yangu,sasa katika utundu wake akawa ameweka password na kwa bahati mbaya haikumbuki hiyo password. Sasa naomba msaada wenu wa jinsi ya kutoa hiyo password maana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nataka kununua Samsung note 3 naombeni ushauri kwa mliowahi kuitumia.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina s4 sch r970c inakataa kusoma laini inaonekana kama imelokiwa msaada tafadhali
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna mtu kaniletea ipad ya apple ambayo haina access ya kuinsert sim so najiuliza ninawezaje kutumia Internet ikiwa nipo huku kwenye maeneo ambayo sina access ya wireless internet. So naomba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natumia Printer ya EPSON L210 yenye kutumia wino wa maji wa kujaza kwenye matanki(Liquid ink refilling tank), kwa kuwa nilinunua ikiwa mpya kabisa ilikuja na package ya chupa za 4 za rangi...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
1 Reactions
5 Replies
1K Views
wakuu kuna yeyote anayejua ninapoweza ku unlock iPhone ya mtandao wa AT&T natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani naombeni msada wa chuo kinacho toa taharuma ya computer science kwa gharama nafuu kilichopo dar na kama unajua sifa za kujiunga.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
samahan wadau nimefanya setting ya display ya cpu inagoma kuonyesha kwenye monitor natumia window7 computer desktop hp nikiwasha inawaka ila haionyeshi kwenye display
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini ndugu zangu, Mimi nina laptop yangu nimeweka Windows 7 sasa tatizo linakuja kuwa kila nikiiweka Start Windows Normally halafu nika connect na chaji kwa pamoja inakuwa kama ina start...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Waungwana, Ninahitaji ku-update ios ya Ipad Air kutoka 6.1.2 Version kwenda Version za juu kwa maana ya 7 au 8.1 Nimefuata procedure za kawaida za ku update but inashindikana. Nina click...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wadau habari,napendwa juzwa kuhusiana na uwezekano WA Simu tajwa hapo juu kuzi unlock ,kwani nataka nunua
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau wa JamiiForums naomba mnijuze au mnipe wavuti wa kutazama online football especiaally uefa leo. Natanguliza shukrani zangu kwenu greats thinkers.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wakuu, Naombeni msaada ndugu nataka kutoka facebook
0 Reactions
29 Replies
11K Views
Wadau naombeni msaada, Kwa mwenye nayo, au namna ya kuweza kuipata, nnliwasiliana na jamaa wa NECTA wakanambia inapatikana kwenye website yao, nimefatilia sana lkn wapi. Natanguliza shukran.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna mashine za kukamua maziwa za kituruki zimekuja bila kitab cha maelekezo naomben msaid jins yakupata maelekezo.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…