Ziltan
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 2,749
- 7,024
PC yangu haioneshi neno send ili nitume email, nifanyeje wadau niweze kutuma au hiyo option imejificha sehemu gani?
Pia PC nyingine kwenye button iliyoandikwa ''scoll'' panawaka mwanga wa blue ss tangu ianze inaandika herufu za juu ya button tu, nawezaje ondoa hili tatizo wadau.