Ipi ni Software nzuri ya ku-design circuits?

Ipi ni Software nzuri ya ku-design circuits?

Engineer E.

Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
34
Reaction score
2
Mmh! ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam(UDSM), Nachukuwa degree ya ELECTRONICS & COMMUNICATIONS ENGINEERING,

Ombi langu kwenu ndugu zangu ni kwamba kama kuna mtu anazijua au anaijua software nzuri kwaajil ya ku design circuits na pia ambayo ina automatic routing kwenda kwenye Printed Circuit Board(PCB) anisaidie kunitajia au anipe rink ya hiyo software.
 
Back
Top Bottom