Tusapotiane watanzania

Feb 17, 2015
35
6
Wanajamvi kuna application nimetengeneza inaitwa ''masaba chat'' ila bado sijai publish kwenye play store wala amazon store sababu nikutaka kujua ubora wa application yangu na inaweza kusapot sim gan na haisapot sim gan!!! Nataka kujua hayo yote ili niimalizie kuiediti na kisha kuiweka sokoni!!! Ndg zangu ntapenda muidownload iyo app kisha uitumie alafu unikosoe wapi napo takiwa kufanya marekebisho ili nikiiweka sokon ifanye vizur zaid!! kama ukiidownload na ukaitumia pls nikosoe kwa kuniambia unatumia simu gani, kama ikiwa vizur kwnye sim ako pia niambie unatumia sim gan!!! Application yenyewe hii hapa 👇👇
Masaba Chat / Android App / Created with AppsGeyser Free App Creator


Nb: Uki maliza kudanlod utapigiwa simu kutoka namba ngeni za kimataifa ikitaka ujaze code ya kuvarify namb ako ya usajili so usije ogopa!!!
 
Back
Top Bottom