Msaada: Ku-attach picha

Msaada: Ku-attach picha

aspen

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2011
Posts
501
Reaction score
166
Wakuu msaada kwenye tuta kuupload picha au kuattach kwa kutumia windows phone, week sasa nimetoka kapa.
 
Mbona watu humu ndani inakuwa ngumu sna kutoa ushirikiano kwenye hili swala?mm mwenyewe nahitaji kufahamu,nimewahi uliza pia bila majibu!Tunaomba msaada wadau jinsi ya kuappoad kwa kutumia simu.tks
 
Back
Top Bottom